TAFAKURI

Recent Entries

Alternative fuel solution to fare reduced transport

ABDULWAKIL SAIBOKODaily News; Tuesday,August 19, 2008   RISING fuel prices in the world market has resulted in hyper-inflation, which is a situ... read more

Posted 2 weeks ago - 0 comments

Good start for Muslim University of Morogoro

ABDULWAKIL SAIBOKODaily News; Wednesday,August 13, 2008 IN its three years of operation, the Muslim University of Morogoro (MUM) has registe... read more

Posted 3 weeks ago - 0 comments

Karagwe,Tarime ni Pemba ya Tanganyika?

Mjadala wa hotuba ya bajeti unaondelea kwenye Bunge la jamhuri ya Tanzania umetawaliwa na vilio kutoka kwa wabunge kila mmoja akilia na Serikali kwa... read more

Posted 2 months ago - 0 comments

Serikali iliwatelekeza Wajasiriamali Sullivan

Mkutano wa nane wa Leon H. Sullivan umemamalizika hivi karibuni huko Arusha. Ni mkutano wa kihistoria ambo watanzania waliusubiri kwa muda mrefu huk... read more

Posted 2 months ago - 0 comments

'United States of Africa' Kitendawili Kigumu

Umoja ni nguvu ni msemo uliozoeleka kwenye vinjwa vyetu. Ni msemo wenye mantiki kubwa ambao pia unafananishwa na misemo mingine kama ule usemao &ldquo... read more

Posted 3 months ago - 0 comments

Wazanzibar wanataka nini?

Suala la Uhuru ni muhimu sana kuanzia ngazi ya mtu binafsi, makabila, majimbo, mataifa na hatimaye dunia kwa ujumla. Ni kutokana na umuhimu wa uhuru n... read more

Posted 3 months ago - 0 comments

Shamhuna na kauli za hatari

Wahenga waliyanena kwamba “hakuna mapana yasiyo na ncha” na “hakuna marefu yasiyo na mwisho”, misemo hii imemfanya mwanadamu a... read more

Posted 3 months ago - 0 comments

Sumaye, ni toba ama ni kusahau?

Hivi karibuni kulikuwa na mkutano wa pamoja kati ya wafanyabiashara wa Afrika na China uliofanyika kwenye hoteli maarufu ya Ngurdoto huko Mkoani Arush... read more

Posted 3 months ago - 0 comments

La UDSM Waziri hakutenda haki

Hivi karibuni limeripotiwa sakata la vurugu zilizosababishwa na mgomo wa wanafunzi kwenye Chuo Kikuu cha Dar es salaam sehemu ya Mlimani. Vurugu hizo ... read more

Posted 3 months ago - 0 comments

Wahusika IPTL washughulikiwe kwanza

Taifa letu la Tanzania lina vitu vingi vya kujivunia ikiwemo amani ambayo imedumu kwa muda mrefu sasa. Ni nchi pekee ya Afrika ambayo imekuwa ikipigiw... read more

Posted 4 months ago - 0 comments

Friends

View All